Sunday, May 26, 2019

MALIASILI YA WANYAMA PORI

 Wanyama pori: Ni maliasili ipatikanayo Katika hifadhi za taifa Kama ( ngorongoro,  serengeti,  manyara,  mikumi,  tarangire,  n. K). Wanyamapori ni moja ya nyenzo kubwa katika taifa letu la Tanzania 🇹🇿 linalo inua uchumi wa taifa kwa pale ambapo watalii wanapata fursa ya kutembelea hifadhi za taifa.
 
   Watalii wengi wanaotembelea hidhi zetu za taifa ni watalii wa njee ya nchi tofauti na watalii wa ndani. Wao huvutiwa sana na Wanyama pori wapatikanao Tanzania 🇹🇿  Kama Simba,  Tembo,  faru,  Pundamilia ,  Twiga,  chui na wengine wengiii.
Watalii wakishangaa namna Simba anavyo kimbiza nyumbu kwa ajili ya kitoeo


 
Twiga wikiwa wana Hama ng'ambo ya barabara kutafuta chakula


     Wanyama pori mbali na kuwa kivutio cha watalii hapa nchini kwetu pia wanatusaidia kupata elimu ya vitendo ya kibayolojia,  namna ya kuwatibu n. K
Mfano ngiri.
Hawa ni ngiri wakitafuta maji mahali ambapo maji yalikuepo ila kwa muda huo hakuna maji. 




Saturday, May 18, 2019

MALIASILI YA MADINI

MADINI : Ni dutu mango yapatikanayo duniani kiasili, ardhi ya shamba ni kiwango kikubwa cha madini ambazo ni punje za mchanga ambayo ni mawe yaliyosagwa . Kito :ni jiwe la thamani ni madini adimu na ngumu zinazopendeza kwasababu ya uangavu wake.
    China ni nchi namba tatu duniani yenye utajiri wa madini kulingana na uchambuzi wana umiliki wastani wa 58%, aina 171 yamegunduliwa na aina 158 zimethibitishwa utajiri wao (aina za nishati 10,aina za metali nyeusi 5,metali za rangi 41,madini yenye metali thamani 8,na madini yasiyo na metali 91,na madini ya maji na gesi aina 3).



    Madini ni moja ya vitu vikubwa duniani vyenye thamani mfano wa madini ni Kama Dhahabu, Almasi, n.k . Nasi Tanzania 🇹🇿 tunajivunia kuzalisha madini adimu yaitwayo " Tanzanite ".
  

Ni aina ya madini yapatikanayo  Tanzania 🇹🇿 

                 

MALIASILI YA WANYAMA PORI

 Wanyama pori: Ni maliasili ipatikanayo Katika hifadhi za taifa Kama ( ngorongoro,  serengeti,  manyara,  mikumi,  tarangire,  n. K). Wanya...