Karibuni katika habari kuhusu maliasili blog. Blog hii Inahusu uchambuzi wa thamani ya madini yapatikanayo ardhini na wanyamapori.
Saturday, May 18, 2019
MALIASILI YA MADINI
MADINI : Ni dutu mango yapatikanayo duniani kiasili, ardhi ya shamba ni kiwango kikubwa cha madini ambazo ni punje za mchanga ambayo ni mawe yaliyosagwa . Kito :ni jiwe la thamani ni madini adimu na ngumu zinazopendeza kwasababu ya uangavu wake.
China ni nchi namba tatu duniani yenye utajiri wa madini kulingana na uchambuzi wana umiliki wastani wa 58%, aina 171 yamegunduliwa na aina 158 zimethibitishwa utajiri wao (aina za nishati 10,aina za metali nyeusi 5,metali za rangi 41,madini yenye metali thamani 8,na madini yasiyo na metali 91,na madini ya maji na gesi aina 3).
Madini ni moja ya vitu vikubwa duniani vyenye thamani mfano wa madini ni Kama Dhahabu, Almasi, n.k . Nasi Tanzania 🇹🇿 tunajivunia kuzalisha madini adimu yaitwayo " Tanzanite ".
Good Mr
ReplyDeleteEns bro
ReplyDelete