Wanyama pori: Ni maliasili ipatikanayo Katika hifadhi za taifa Kama ( ngorongoro, serengeti, manyara, mikumi, tarangire, n. K). Wanyamapori ni moja ya nyenzo kubwa katika taifa letu la Tanzania 🇹🇿 linalo inua uchumi wa taifa kwa pale ambapo watalii wanapata fursa ya kutembelea hifadhi za taifa.
Watalii wengi wanaotembelea hidhi zetu za taifa ni watalii wa njee ya nchi tofauti na watalii wa ndani. Wao huvutiwa sana na Wanyama pori wapatikanao Tanzania 🇹🇿 Kama Simba, Tembo, faru, Pundamilia , Twiga, chui na wengine wengiii.
Watalii wakishangaa namna Simba anavyo kimbiza nyumbu kwa ajili ya kitoeo
Twiga wikiwa wana Hama ng'ambo ya barabara kutafuta chakula
Wanyama pori mbali na kuwa kivutio cha watalii hapa nchini kwetu pia wanatusaidia kupata elimu ya vitendo ya kibayolojia, namna ya kuwatibu n. K
Mfano ngiri.
Hawa ni ngiri wakitafuta maji mahali ambapo maji yalikuepo ila kwa muda huo hakuna maji.



No comments:
Post a Comment